Juventus na Monaco mbele kwa mbele UEFA, Barca na Dortmund nje








Loading...
Timu za Juventus na Monaco zimefanikiwa kufuzu katika hatua ya nusu fainali ya kombe la klabu bingwa barani Ulaya (Uefa) usiku wa Jumatano huku zikiungana na Real Madrid na Atletico Madrid ambazo zilifuzu katika hatua hiyo siku ya Jumanne.

Juventus imefanikiwa kuingia katika hatua hiyo kwa kuitoa Barcelona ya Hispania kwa jumla ya mabao 3-0 ambayo walishinda katika mchezo wao wa kwanza wiki iliyopita huku katika mchezo wa jana wakitoka sare ya 0-0.
Nao Monaco wametinga hatua hiyo kwa kuitoa Borussia Dortmund kwa jumla ya mabao 6-3 ambapo katika mchezo wa kwanza walishinda magoli 3-2 na katika mchezo wa jana katika uwanja wao wa nyumbani wa Stade Louis II waliibuka tena na ushindi wa mabao 3-1.

Katika mchezo huo magoli ya Monaco yalifungwa na Mbappe dakika ya 3, Falcao dakika ya 17 na Germain dakika ya 81 huku goli la kufutia machozi la Dortmund likifungwa na Reus dakik
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment