Mchezaji wa tenisi
nambari mbili kwa sasa duniani, Serena Williams amejitokeza katika
mitandao ya kijamii na kuandika kuwa ni mjamzito.
Mwanadada huyo
mwenye mika 35 aliweka picha yake kwenye snapchat akiwa amejipiga picha
kwenye kioo na kuandika 20 weeks yaani majuma 20 kisha akaifuta hiyo
post.Iwapo itathibitika kwa hakika kuwa ni mjamzito, Serena anaweza kuzikosa Grans Slams tatu yaani French Open, Wimbledon na US Open.
0 maoni:
Post a Comment