Inakadiriwa kuwa, asilimia 71 ya vijana wote duniani hutumia mitandao ya kijamii mara kwa mara kwa siku. Kwa wengine, simu zao za mikononi zinaonyesha njia rahisi ya kupata mitandao hiyo.
Facebook,Twitter,Instagram,Snapchat,Youtube ,Google Plus, LinkedIn, Badoo, Twoo na mengineyo kila siku, hutembelewa na vijana, kila baada ya dakika 10.
Ifuatayo ni mitandao duniani inayotembelewa zaidi duniani.
Na Laila Sued
0 maoni:
Post a Comment