Ruff Ryders waungana, DMX ashindwa kufanya poa stejini




DMX, Rapper kutokea kundi la Ruff Ryders ameshindwa kufanya show weekend hii kwa kiwango chake cha kawaida kutokana na hali yake ya afya kuzidi kudhoofika.

Show hiyo ambayo ilifanyika katika Ukumbi wa Barclays Center-Brooklyn, ilikuwa ni show kubwa kwa kundi la Ruff Ryders wakiwemo DMX mwenyewe, Eve, Swizz Beatz, Drag-On & The Laox.

Kuzorota kwa afya ya DMX, ni kutokana na matumizi ya pombe kali na dawa za kulevya.
DMX alirap pole pole na kupumzika sana, Mashabiki waliokuwa karibu na jukwaa wanasema DMX alionekana kama amelewa dawa ya kulevya au alikuwa mgonjwa wakati anafanya show.
Na Laila Sued.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment