Idara ya jeshi nchini
Marekani imesema kwa mara ya kwanza itajaribu kudungua kombora la
masafa marefu lililo na uwezo wa kufyatuliwa kutoka bara moja hadi bara
lingine.
Donald Trump, Rais wa Marekani
Maafisa
wa Pentagon wanasema jaribio hilo litafanyika Jumatano, wiki ijayo
licha ya kuwepo na wasiwasi mjini Washington kuhusu uboreshaji wa miradi
ya kinyuklia na makombora ya masafa marefu ya Korea Kaskazini.
Wasiwasi huo umeonekana kwa taifa la Marekani kuhusu mpango wa Korea ya Kusini wa kutengeza makombora mbali na mpango wake wa Kinyuklia, ambao una uwezo wa kutengeneza kombora lenye uwezo wa kufikia Marekani.

0 maoni:
Post a Comment