Baada ya siku chache za Diane Shima Rwigara kutoka Rwanda kutangaza kugombea urais nchini humo, hatimaye amekutwa na skendo ya kuvujisha picha zake za utupu mtandaoni.
Mrembo Diane Rwigara pichani aliyeshika Mkoba,Akiwasili ukumbini alikoenda kutangaza nia ya Kugombea urais.
Kwa mujibu wa mtandao wa Habari Pevu umeeleza kuwa picha hizo zilitumwa awali kwa njia ya e-mail na mtu aliyejiita ni Muandishi wa habari aliyejulikana kwa jina la Twahirwa Emmy huku akishinikiza kuwa mrembo huyo hafai kuchaguliwa kuwa Rais kwa vitendo vyake vichafu vya kupiga picha za utupu.
Mrembo Diane Rwigara akiwa mtupu .
Diane Rwigara akiwa kwenye pozi
Uchaguzi mkuu wa Rais nchini Rwanda unatarajiwa kufanyika mwaka huu mwezi wa Augosti, na mpaka sasa kuna wagombea watatu tuu ambao ni Mpayimana Philippe ambae ni mgombea binafsi na Franck Habineza kutoka chama cha Green pamoja na Diane Rwagira wote wakitarajiwa kuleta upinzani mzito kwa Rais Paul Kagame .
Mtandao wako wa JICHOPEMBUZI utakuletea kila tukio litakalotokea nchini Rwanda kuelekea uchaguzi mkuu nchini humo.
By Godfrey Mgallah
0 maoni:
Post a Comment