• Home
  • About
  • Contact
  • Error Page

JICHO PEMBUZI

  • Home
  • Business
    • Fashion
    • Fashion1
    • Fashion2
  • Fashion
    • Sub Menu 1
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Sports
  • Games
  • Technology
  • Download This Template
JICHOPEMBUZIBLOG . Powered by Blogger.

Fashion

  • Home

STAY WITH US

Home / Michezo / Serengeti tupeni raha watanzania!

Serengeti tupeni raha watanzania!

Unknown 5/21/2017 12:32:00 am Michezo Edit

 

 


Macho na masikio ya mashabiki wa soka wa Tanzania leo yanaelekezwa Gabon kwa wawakilishi wake Serengeti Boys itakayovaana na wenzao wa Niger.
Serengeti Boys
Serengeti inahitaji kupata ushindi katika mechi hiyo ya tatu na ya mwisho ya Kundi B ili kufuzu kucheza hatua ya nusu fainali na kukata tiketi ya kushiriki fainali za michuano ya Kombe la Dunia kwa umri huo zitakazopigwa India Oktoba, mwaka huu.
Serengeti Boys wenye pointi nne wanashuka uwanjani wakiwa kileleni sambamba na Mali kutokana na kupata sare ya bila kufungana na mabingwa watetezi hao na mchezo wa pili wakiifunga Angola mabao 2-1 matokeo ambayo Mali pia iliyapata dhidi ya Niger.
Kocha Mkuu wa Serengeti Boys, Bakari Shime alisema jana kuwa wachezaji wake wako vizuri na wamejipanga kumaliza na ushindi ili kutimiza ndoto.

 

 


Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

RELATED POSTS

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments ( Atom )

HALICHACHI

HALICHACHI

FIND US ON FACEBOOK

  • Popular Post
  • Video
  • Category

Popular Posts

  • JE, WAJUA MAZOEZI YA KUONGEZA UREFU, UNENE WA UUME NA NGUVU ZA KIUME...
  • MEET A REAL LIFE BARBIE DOLL- ANASTASIYA SHPAGINA
  • Wenger ni meneja bora katika historia ya soka- Antonio Conte
  • KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOA WA IRINGA
  • Matokeo ya kidato cha Pili haya hapa Bofya juu ya jina la shule ya Mwanao
  • TAARIFA YA TBS KUHUSU MAJI YA 'DEW'

Video Of Day

Find Us On Facebook

Distributed By Gooyaabi Templates
  • Home
  • About
  • Contact
  • Error Page