Burudani
The rock mwenye miaka 45 aliyetokea katika mchezo wa mieleka (WWE) alitangaza kuwania Uraisi Marekani mwaka 2020 katika kipindi maarufu cha ‘Saturday Night Live’ ameamua kutengua kauli yake hiyo. Ambapo Tom Hanks ambaye pia ni muigizaji alikubali kuwania nafasi ya umakamu wa Rais.
Hata hivyo The rock anayefanya vizuri katika filamu mpya ya ‘Baywatch’ alisema kuwa tangazo hilo lilikuwa la utani tu, ila Marekani inahitaji viongozi walio na uwezo wa kuongoza, wanaojali maslahi ya taifa hilo na raia wake.
0 maoni:
Post a Comment