China
inayotumia mfereji wa Panama kwa safari za meli, imeongeza kiwango cha
uwekezaji wake chini Panama katika miaka ya hivi karibuni.Jean-Philippe Boulet
Panama
imechukua uamuzi wa kuvunja uhusiano wake na Taiwana na imeamua
kuboresha uhusiano wake na China. Panama na Taiwan ni nchi mbili ambazo
zilikua na uhusiano wa muda mrefu.
Serikali
ya Taiwan, imesema imekasirishwa na hatua hiyo ya Panama kuanzisha
uhusiano na China, huku ikasema kuwa haitashindana na China katika kile
ilichokitaja kuwa mchezo wa pesa katika diplomasia.
China inayotumia mfereji wa Panama kwa safari za meli, imeongeza kiwango cha uwekezaji wake katika taifa hilo la Amerika ya kati katika miaka ya hivi karibuni.
Wizara ya mashauri ya nchi za kigeni ya China katika taarifa, ilisema kuwa serikali ya China inakaribisha hatua hiyo ya Panama.
Serikali ya Panama imesema inatambua kuwa Tawan ni sehemu ya China, lakini tayari ni nchi huru sasa
China imebaini kwamba Taiwan ni moja ya mikoa yake uliojitenga lakini inasema ni vizuri Taiwan kurudi kuunganishwa na China.

0 maoni:
Post a Comment