Shirikisho
la Soka barani Afrika (CAF) litajadili hatma ya michuano ya Kombe la
Mataifa ya Afrika (AFCON), kuanzia Julai 18 hadi Julai 21, 2017 nchini
Morocco. Michuano ya AFCON inayopigwa kila baada ya miaka miwili,
inaweza kuchezwa kila baada ya miaka minne? Michuano hii inaweza kupigwa
mnamo mwezi Juni na Julai badala ya mwezi Januari na Februari? Jibu
ukituma ujumbe wako kwa uchunguzi RFI kuanzia Juni 22 hadi Julai 17
ambapo matokeo yatatangazwa Julai 18.
Chargement en cours...
0 maoni:
Post a Comment