Babu
Tale Meneja wa star mwimbaji wa Bongo Flava, Diamond na lebel ya WCB
yuko nchini Marekani ambako alikwenda kuhudhuria tuzo za BET na good
news ikawa kwa Tanzania baada ya mwimbaji Rayvanny kufanikiwa kuchukua
tuzo ya Viewers Choice (Best New International Act).
Akiwa Marekani Babu Tale amekutana na
kupiga picha na King Combs mtoto wa rapa mkongwe, miliki wa label ya Bad
Boy Entertainment na mfanyabiashara mkubwa duniani Puff Dady a.k.a
Diddy na akaandika maneno haya.
>>> “Basi katika story zetu na @kingcombs nikamwambia karibu Tanzania mix kumuonyesha vivutio akajibu natamani nije ila baba mkali usione anacheka kwenye insta. We mzee @diddy acha dogo aje kuona mnyama mshika MIC”<<<< – Babu Tale
0 maoni:
Post a Comment