Watu 80 wapoteza maisha katika ajali ya barabarani Jamhuri ya Afrika ya Kati

media Polisi ya usalama wa barabarani katika jimbo la Bambari nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati walauamiwa kwa kusababisha ajali za barabarani. 
Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, lori moja la mizigo limesababisha vifo vya zaidi ya watu 80, wengi wakiwa wachuuzi waliokuwa wakielekea sokoni mjini Bambari.
Maafisa wa ualama wa barabarani wamelaumiwa kwa kutochukua hatua kuzuia ukiukwaji huo wa sheria za barabarani.
Walioshuhudia tukio hilo wanasema lori hilo lilikuwa limebeba watu wengi na kujazwa mizigo kupindukia huku likiendeshwa kwa mwendo wa kasi wakati lilipopenduka.
Ajali kama hii zimekua zikitokea, katika za Afrika ya Kati na Magharibi, hasa nchini Jmhuri ya Afrika Kati ambapo polisi inanyooshewa kidole kwa kujihusisha na rushwa ya kupindukia.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment