VULUGU MISRI; WATU WALIO KUFA KUFIKIA 525.

mji mkuu wa misri,cairo umeripotiwa kuwa kimya,baada ya opereshini ya kinyama
Mji mkuu wa misri cairo umeripotiwa kuwa kimya,baada ya operasheni ya kinyama dhidi ya waandamanaji wanao uhunga mkono Rais aliye pinduliwa Mohamed morsi kupelekea vifo vya raia.mauaji hayo yamezua shutuma kutoka jamii ya kimataifa.

kwa data zilizo pelekwa umoja wa mataifa ina semekana watu walio kufa ni 278 lakini Jichopembuzi lilibaini watu zaidi ya 500.
bango la picha ya bwana morsi pamoja na gari la kivita lililotumiwa kuwatawanya waandamanaji

Akilaani vikali vurugu zilizo tokea  Bi Ashton amesema kuwa ni juhudi za pamoja pekee kati ya wamisri wote pamoja na jamii ya kimataifa ndizo zitakazo lejesha taifa hilo katika demokrasia.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment