![]() |
www.jichopembuzi@gmail.com |
mifuko ya plastiki (malboro} kujikinga na maambukizi ya ukimwi huku wengine wakichangia kondomu
Mkuu wa mkoa wa moshi Reonidasi Gama amesema maambukizi ya ukimwi yamepanda kutoka asilimia 1.9 mwaka 2007/2008 hadi kufikia asilimia 3.8 mwaka 2011/2012 na kudai kuwa maeneo yalio athilika katika mji wa moshi ni pamoja na TTC,MIKA,MALANGU,MTONI,KIBOSHO.
0 maoni:
Post a Comment