WIZARA YAZINDUA DAWA MPYA YA KUZUIA MAAMBUKIZI YA VVU.

Wizara ya afya na ustawi ,imezindua dawa mpya ya kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU)na kubadilisha matumizi ya dawa za kuzuia kutoka kwa mama kwenda kwenda kwa mtoto.
mkuu wa mkoa wa mtwara joseph simbakalia

kupitia mpango huu mama ataanzishiwa dawa hizo baada ya kugundulika kuwa na maambukizi ya vvu wakati wa ujauzito
hayo yalifahamika mwishoni mwa wiki wilayani masasi kupitia hotuba ya mkuu wa mkoa wa mtwara ,Joseph Simbakalia,iliyosomwa kwa niaba yake na kaimu katibu tawala wa mkoa wa mtwara,Bakari shamkupa wakati wa sherehe za uzinduzi wa dawa mpya ijulikanayo kama option B+

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment