MALARIA ;MATUMAINI YA KUPATIKANA KINGA

Watafiti wa marekani wamebaini miili ya watoto hao hutoa viini vya kinga ambavyo ushambulia wadudu wanaosababisha malaria.

Kundi la watoto nchini Tanzania wenye kinga asili ya malaria wanawasadia wanasayansi kutengeneza kinga mpya ya ugonjwa huo.

kwa kumdunga mtu sindano yenye viini hivyo mtu anaweza kukingwa na ugonjwa huo.

Watafiti hao ambao walichapisha matokeo yao kwenye jarida la sayansi wanasema majaribio ya utafiti huo katika binadamu na katika sokwe sasa yanaitaji kutathminiwa kikamilifu ili kupata matumaini halisi ya chanjo ya malaria.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment