MKUU wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri anaomba jamii
kujitokeza kuisaidia serikali pale inapo
ona inaweza kusaidia hasa katika miundombinu mbalimbali ya kijamii.

Anasema kuwa serikali haitamzuia mtu yeyote anayejitokeza
kufanya ukarabari wa mali za umma ila tu atakaye bainika kuharibu itakula naye
sahani moja kwa kuchukua atua za kisheria dhidi yake.

Msafiri anatoa kauli hiyo wakati akifungua kazi ya kuanza
kukarabati jingo la gredi ya kwanza katika hospitali ya Kibena ambayo ukarabati
unafanywa na watu watatu waliolidhishwa na huduma aliyopatiwa ndugu yao.

Alisema kuwa ni watu wachache wanao kumbuka fadhira za
kutendewa mema na wale walio fanyiwa huduma vizuri ndia wanao toa shukrani
kuliko wale watakaopata huduma kwa kutoa rushwa.

Alisema kuwa haita kuwa rahisi kwa mtu ambaye amepata huduma
kwa kunyanyashwa akarudi kushururu hivyo hospitali ione imetoa huduma vizuri
kwa watu hao na kuendereha hivyo na kwa watu wengine.

Ndugu hao wanasema hii ni shukrani na vyumba vitatu vitawekwa
tailizi, na kupakwa rangi paa la jengo na ukarabati mwingine katika maeneo
mbalimbali ya vyumba vya hospitali hiyo ikiwa ni pamoja na kupaka rangi dali za
vyumba hivyo.

Akisoma taarifa ya vitu watakavyo fanya kwa niaba ya wenzake
wawili Elly Ngole alisema kuwa watakarabati vyumba vitatu kwa kuweka Tailizi,
kupaka rangi, kupaka rangi bati, na kukarabati baadhi ya vyoo.

Hata hivyo Ray Mbogailonguwe, alimtoa wasiwasi kuwa baada ya
kuweka Tailizi milango yote itakuwa kama kawaida kwa kuwa sakafu itachimbuliwa
kidogo na kumuomba mkurugenzi kuwasogezea mchanga kwa kuwa halmashauri ina
Gari.

Watu hao wanao jitorea kukarabati waliuguza shangazi yao hapo
na kupata rufaa ya kwenda kutibiwa hospitali ya taifa ya Muhimbili, ambao ni
Ray Mbigailonguwe, Elly Ngole na Njowoka huku Ukarabati huo unaanza mara moja
baada ya kufunguliwa na mkuu wa wilaya huyo ambapo uboreshaji huo utahitajika
wagonjwa kuto tumia vyumba vinavyo karabatikwa mpaka ukarabati unapo kamilika.

Kwa upande wa hospitali hiyo iliyo jengwa kabla ya uhuru
inaonyesha kuchoka na kama imesahauriwa, waungwana hao wanashukuriwa na
uongozi wa hospitali, halmashauri na
kamati ya afya halmashauri ya mji wa Njombe.

Kwa niaba ya mkurugenzi Gwalbert Mbujiro anasema kuwa
anashukuru kwa kuungwa mkoni kwa kuwa wao sasa wanaendelea na ukarabati wa
maabara na kuwa wanahitaji sana kufanya ukarabati hospitali nzima lakini
wanakwama kutokana na kuto kuwapo kwa fedha za kutosha.

Hata hivyo kwa niaba ya uongozi wa Hospitali Morice Mgaya,
anasema wanaona umuhimu wa ukarabati huo kwa kuwa wagonjwa wengine walikuwa
hawalazwi katika chumba kimoja kwa kuwa kulikuwa kimeharibika kabisa na sasa
wanaona matunda ya kutoa huduma bora kwa kuwa wamekuwa wakipokewa lawama pekee
na sio shukrani.

from Blogger http://ift.tt/2dS3std
via IFTTT
0 maoni:
Post a Comment