Hoteli iliyopo kwenye milima ya Uswisi haina ukuta

Hoteli iliyopo kwenye milima ya Uswisi haina ukuta
Hoteli iliyopo kwenye milima ya Uswisi haina ukuta wala paa la juu ni hoteli ambayo imetengenezwa kipekee ipo katikati ya milima ya Uswisi kitu pekee ilichokuwa nacho ni kitanda cha kulala pekee.
Kama alivyonukuliwa mmoja wa wamiliki wa hoteli hiyo akisema “Sisi tumetengeneza hoteli ambayo haina ukuta na kumuachia mteja wetu yeye pamoja na kitanda chake huku akifurahia hali ya hewa nzuri iliyopo kwenye milima hiyo.”
Hoteli hiyo ilianzishwa mwezi wa saba mwaka 2016, mpaka kufikia sasa wateja wengi wamefanya booking kwenye hoteli, kama alivyosema mmiliki wa hoteli hiyo. Kutokana na uhitaji mkubwa wa wateja kwenye hoteli hiyo tunajaribu kuongea na wizara ya utalii ili watupatie nafasi za kujenga hoteli nyingine nyingi.
Angalia muonekano wa hoteli yenyewe.
Hoteli hiyo iliyopo umbali wa futi 6,463 kutoka usawa wa bahari, Hoteli hiyo ipo katikati ya milima ya Uswiss. Na gharama ya kulala kwa usiku mmoja ni takribani shilingi laki nne.
Hoteli iliyopo kwenye milima ya Uswisi haina ukuta
Mafundi ujenzi walichimba na kusawazisha ardhi hiyo ilikuweza kuweka kitanda kwenye milima hiyo.
Hoteli iliyopo kwenye milima ya Uswisi haina ukuta
Hoteli hiyo haina kuta, paa la juu wala choo – kuna kitanda pekee pamoja na taa za pembeni. Kama mteja ataitaji kwenda chooni itabidi atumie choo cha jamii ambacho kipo umbali wa dakika tano kutoka kwenye mlima huo, Kama alivyosema Charbonnier.
Hoteli iliyopo kwenye milima ya Uswisi haina ukuta
Wateja wataweza kufurahia muonekano wa milima hiyo pamoja na nyota za usiku. Uswisi itakuwa ni kama hoteli, ” asema mmiliki wa hoteli hiyo.
Hoteli iliyopo kwenye milima ya Uswisi haina ukuta
Kama ilivyo kwa hoteli zingine muhudumu pia nae yupo ambaye atakuwa anahudumia wateja watakao kaa kwenye hoteli hiyo.
Hoteli iliyopo kwenye milima ya Uswisi haina ukuta
Muhudumu huyo ambaye anakaa kwenye banda, pamoja na kuhifadhi vifaa vyake humo…
Hoteli iliyopo kwenye milima ya Uswisi haina ukuta
…pamoja na kuandaa chakula kwa ajili ya wageni hao, ikiwa mlo wa jioni na asubuhi.
Hoteli iliyopo kwenye milima ya Uswisi haina ukuta
Ingawaje kama hali ya hewa ni mbaya basi wateja wanaweza kuahirisha maombi ya kukaa kwenye hoteli hiyo.
Hoteli iliyopo kwenye milima ya Uswisi haina ukuta
Kama unampango wa kwenda kukaa kwenye hoteli, unaweza wasiliana nao hapa.
CHEKA  KIDOGO NA HUYU JAMA ASIEJUA KUCHEZA KWAITO

from Blogger http://ift.tt/2kwYIQg
via IFTTT

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment