Nivizuri ukajua mchele tunaopika nyumbani ni suluisho kubwa sana kwenye simu yako ya Android na aina yeyote ile, mchele unaweza kuokoa garama kubwa ambayo ungeweza kupata kwa kuipeleka simu kwa fundi. Soma hatua hizi kujua mchele unavyo saidia kwenye simu.
Maranyingi watuwamekuwa wakipata bahatimbaya ya kunyeshewa na mvua au kudumbukiza simu kwenye maji, si vyema wala haishauriwi kwatatizo la aina hii kuweka simu juani fata hatua hizi rahisi kutatua tatizo lako.
Fungua simu yako na tenganisha betri na simu maramoja
Chukua bakuli lilo jaa mchele
Tumbukiza simu na vifaavyake vyote kwenye bakuli la mchele ukiwa umevitenganisha tayari, acha humo kwa masaa kumi na mbili nakisha itoe simu yako na kuiweka kwa masaa 2 ipigwe na upepo wa kawaida na lisaa limoja upepo wa feni, Hakikisha huiweki juani.
Rudishia kilakitu kwenye simu yako na washa simu yako tayari kwa matumizi.
Ikishindikana hatua hiyo tunakushauri sasa ndio uipeleke kwa fundi inawezekana ulichelewa toa betri mara tu ilipo patwa na tatizo la kuingiwa na maji.
from Blogger http://ift.tt/2lUJqB8
via IFTTT
0 maoni:
Post a Comment