Ni siku ya nne leo tangu kutokea tukio la watu kufukiwa ndani ya Mgodi Buhemba wilaya ya Butiama Mara ambapo juhudi bado zinaendelea za kuwaokoa Watu wanne walioko chini ya ardhi ambao haijulikani kama bado wapo hai.
Ndugu wa Waliofukiwa wameanza kupoteza matumaini ya kuwapata ndugu zao wakiwa hai, AyoTV imezungumza na baadhi ya ndugu ambao wapo eneo la tukio kwa siku ya nne sasa wakiwangoja ndugu zao kuokolewa….
unaweza kutazama kwenye hii video hapa chini
from Blogger http://ift.tt/2lqKaAT
via IFTTT
0 maoni:
Post a Comment