Picha: Thea aibua maswali baada ya kuonekana akiingia ofisi ya kamishna wa kupambana na madawa ya kulevya

Msanii mkongwe wa filamu Thea ameibua maswali kwa wadau wa mambo baada ya kuonekana mchana huu akiwa ofisi ya Kamishna wa operesheni wa mamlaka ya kupambana na kuzuia dawa za kulevya iliyopo Upanga jijini Dar es salaam.
Thea akiwa ofisini hapo
Hivi karibuni wasanii mbalimbali wa filamu na muziki wamekuwa wakitajwa kuhusika katika sakata la biashara haramu ya madawa ya kulevya.
CHANZO:BONGO 5

from Blogger http://ift.tt/2lemQV0
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment