Jana Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alimkabidhi majina 97 ya watuhumiwa wa biashara ya dawa za kulevya, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya, Rogers Sianga.
Kamishna huyo alisema kuwa katika vita hii hawataangalia mtu machono na kuwa vita itaenea nchi nzima. Aidha alisisitiza kuwa hakuna jiwe abapo litasalia halijageuzwa. Hapa chini ni video ya kiongozi huyo akizungumza.
from Blogger http://ift.tt/2lPuOCQ
via IFTTT
0 maoni:
Post a Comment