KANDORO AKELWA NA WAPENDA POLOJO BADALA YA KAZI.

MKUU wa mkoa wa mbeya Abasi Kandoro amewataka Watanzania kuacha maneno badala yake waeshimu muda wa kufanya kazi kama wananchi wa nchini china.

Hayo yamesemwa jana katika ukumbi wa mikutano wa hospitari ya Mkoa wa Mbeya,wakati akifungua mkutano wa CHF kwa viongiozi wa mkoa wa Mbeya wakiwemo wakuu wa Wilaya za Mbeya ,wakulugenzi waganga wakuu,wenye viti wa Alhmashauri,wenye viti wa bodi za Afya za Alhmashauri,ulioandaliwa na mfuko wa bima ya afya Taifa "NHIF"

Alisema alipo safiri kwenda nchini china,halikutana na hali tofauti na hapa nchini,ambapo wananchi wa china wanajali zaidi muda wao wa kazi na vuchaguzi ukisha awajishughulishi na siasa.

"Ndugu zangu atuta fika tukiendekeza siasa kwa kila jambo na kwa kila wakati,tuanze sasa kufanya kazi hili kusonga mbele kimaendeleo.sisi tunapenda sana kusemasema,mbali na jambo hilo alisema katika kutekeleza la kufikia asilimia 30 ya watanzania kujiunga na mfuko wa bima ya Afya ya jamii (CHF) lazima yapigwe vita manung'uniko na ubaguzi kutoka kwa watoa huduma kwenda kwa waliogiunga na CHF

Alisema wananchi wanaonekana kanakwamba wanapata huduma hizo bure bila kugharamia,dawa azipatikani na zile zinazo paswa kutolewa azitolewi.


kuhusu vifaa tiba alisema wananchi waliojiunga na mfuko huu wa bima ya afya ya jamii na ule wa taifa wanapo pata matatizo awapati huduma na wanapo toka hospitali huwa awawi mabalozi wa mfuko huu

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment