PISTORIUS:DAKTARI APATA MSHTUKO WA MOYO.

Daktari wa akili anaye tathimini hali ya mwana rihadha Osca pistorius katika kesi ya mauwaji ya mpenziwe Reeva Steenkamp amepatwa na shtuko wa moyo.

Hata hivyo suala hilo alitalajiwi kucheleweshwa kusikilizwa kwa kesi hiyo ambayo itaendelea siku ya jumatatu,upande wa mashtaka umesema

bwana Pistorius inatakiwa kukamilisha siku thelathini za utathmini wa akili yake

mwanariadha pistorius akiwa mahakamani.
jaji katika kesi hiyo aliagiza kufanywa kwa ukaguzi baada ya ushaidi mmoja wa pistorius kusema mshtakiwa huyo alikuwa anakabiliwa na ugonjwa wa wasiwasi.

Mwanariadha huyo amekana kumuuwa mpenziwe kimakusudi na amesema kuwa alimpiga risasi kwa bahati mbaya kupitia mlango wa choo siku ya Valentine mwaka ulipopita alidhani kwamba mwanamke huyo ni wa miaka 29 alikuwa ni jambazi.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment