Aliyekuwa kocha wa manchester United David Moyes ameahidiwa kitita cha pauni milioni 4 kwa mwaka hili kumlithi Roberto Mancini kama kocha wa Galatasalay ya Uturuki.
Iwapo mkataba huo utakubaliwa na "the chosen one" huenda raiya huyo wa scotland akalejea katika safu ya ukufunzi miezi michache tangu atimuliwe huko Old Trafford kufuatia msululu wa matokeo Duni.
kibarua chake kiliota nyasi huko Old Trafford mwezi April mancherster ikiwa katika nafasi ya saba katika ligi ya uingileza msimu mmoja tu tangu tutwae ubingwa nchini
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment